Aah ! Woo ! Mambo vipi everybody See right about now You are rocking with the best O.G, Roma, Stamina, let´s Go!
Yo! Si mwingine Mister Bonaventure hapaa Straight toka bongo mpaka Kisumu Naivasha Nairobi, Mombassa kila kitu guda guda Na muda umefika sasa kutuma posa kwa huddah Kucheka cheka na ma snitch sitaki Wameshachezea block kwenye simu hawanipati Bize natua show collabo o za nchi za kati Nashangaa unaenidisi na huna ata mchongo wa laki
Mademu wamuonge nani Labda bando la chup hata mkisema sisimani Freshi sinaga kituo Mjini ni kupambana utoke jasho sio dananda Ukileta stori unaboa nashauri ukajenge banda Nlizaliwa na 2PAC , hmm ! 2 PAC wa bongo Sema nkanyimwa six packs na kichawani sinsa dongo Mkuyati wala vumbi la kongo
Mademu wanasema smart yani fresh Haina zongo ok Baba ngidaa baba yaro Rostam collabo na baba yao Uwezo wao style zao zinapimwa na fikra zao So waache watudisi ila sisi sio size yao
Uh! Nairobi to Dar Tuko masaa uliza mitaa kwa mabosi (eeh) Hapa tu kazi vile inafaa OG collabo na Rostam Haki ya nani now you know (Haki ya nani now you know) Na na na na na now you know (Na na na na na now you know) Haki ya nani now you know (na na na na) Now you know (na na na na now you know)
Nawachaguliwa akina nani Ndio aa hii wana worry Tume pull up na mandaii na ma lorry Zima Jah ma O.G killers Swalai mpaka shori usikaze sign kutuchambua joh Ki saida karoli They call be Mugabe zile pande za Dodoma Hata Zimbabwe nina stamina ya Roma That means I can´t fall niko firm kisimiti khali mi I stand tall juu ya fans na si kiki Keep it on top vile wa super wana stare They know I got it all mi ni kaduka joh I swear Wanapenda ipe lugha nawapea I don´t do cheap record houoni chupa za Bellaire
In case am honest too Ten verse ndo nachana busy grinding mpaka
Shati iko na jasho Ya jana (ihoee) You wanna top izo vako achana I´ve been rapping toka enzi za Vasco da Gama Mi ni mchaf toka zama Niko class moja blunder Kwa derassa ya mziki mi nika burst door kwa maana Kila wakati nachora nawacha black bloard alama Kama Kastramu am bad boh nab ado nasmama Ukumbe itafika toka mtama mayolo Kama guest that´s why nikipiga buzz wanafollow Am on a kong we umekaa tu ago ndoro Am a star mi napaa mpaka Dar hadi Moro
Nairobi to Dar Tuko masaa uliza mitaa Kwa mabosi oh (hee) Hapa tu kazi vile inafaa
OG collabo na Rostam (hee) Haki ya nani now you know (haki ya nani now you know) Na na na now you know (nanana now you know Haki ya nani now you know (na na na now you know , na na na now you know)
Aaah Na si Zimbabwe tuu Navuka border kwa mkaburu Ukiona analeta ubabe ujue hawapendi niwe huru Na nna nyata paka Kenyatta (Uhuru) Natekenya pa kwa pa so piga nduru Na hii bashi nawachinja you guys I wanna marry Mnataka kupiga binja huku mnapiga gidheri (Hawataweza) Hata saa mbovu kuna mda inasema
Ukweli mbona mnatoka na povu Mmepanic na mmefeli
Mi mkatoliki nalindwa na damu ya Kristo Leo Papa Jones Umekutana na Papa Benedicto So niloge Kisumu nikuloge Mombasa Ujue mimba ni sumu muheshimu mgumba na tasa (Watu wa Tanzania) Maafande hawaanaga peace niko Kenya nko tungi nala mrungi na polisi Usi download pornigraph kwa wifi ya msikiti Hey Khaligraph juu niko chonjo na niko fiti Na sina mistari mikali ju tu niliandika Nkafurahi ila naflow mbaya kama jiko yakipiga chafya Ukiji chocha mi na leta mashauzi na Tongwe ndo kocha karibu Tanga tuvute pumzi
Nairobi to Dar Tuko masaa uliza mitaa Kwa mabosi oh (hee) Hapa tu kazi vile inafaa OG collabo na Rostam (hee) Haki ya nani now you know (haki ya nani now you know) Na na na now you know (nanana now you know Haki ya nani now you know (Na na na now you know , na na na now you know)