Accueil  đŸ’ƒđŸŽ€ Paroles de chanson Française et Internationnales

 A   B   C   D   E   F   G   H   I   J   K   L   M   N   O   P   Q   R   S   T   U   V   W   X   Y   Z   0   1   2   3   4   5   6   7   8   9 
Artiste : Martha Mwaipaja
Titre : Anatawala
Anatawala Anatawala Anatawala
Anatawala Yesu(x2)

Wanabadili mawazo yao wanafika mwisho
Leo ninayo majibu yao(x2)

Wanajiuliza sanaar ninawezaje
Wanatafuta sanaar anapataje
Jibu Ni moja tu Yesu Anatawala
Mawazo yapo chini
Sina Shaka yutawala nami

Anatawala Anatawala Anatawala
Anatawala Yesu (x2)

Anatawala Yesu
Anatawala Anatawala Anatawala Baba Yangu
Ameiweka dunia,Amemueka Binadamu
Amemfanya aishi kwa uhuti
Anatusamehe Anatulinda
Ameshikilia mbingu
Nani mwanadamu atasimama kumpinga
Wote tupande Sauti tusaidiane

Anatawala Anatawala Yesu Anatawala Anatawala milele Anatawala Yesu