Eeeeeeh Yesu wangu Japo jaribu nimeruhusiwa na wewe Mwenyewe Nilijaribu inaumiza moyo Japo maumivu haya Yesu anayajua
Moyo wangu unateseka Japo haya yote wewe pekee wajua
Lakini moyo wangu unateseka aaahh Nitie nguvu Baba yangu Naishi katikati ya watu wasiojua Ni Nini napitia Natembea katikati ya watu Wasiojua maumivu yangu Kwa Sababu ya maumivu nilio nayo
Bado hawajaelewa ninavyo teseka Japo maumivu haya wewe Yesu wayajua Japo moyo wateseka Hivi naomba kwa unyenyekevu mkubwa usiniache nateseka
Baba yangu nimekubali kuteseka
Usiniache nikamezwa Ila najaribu japo ibrahimu aliitwa Baba wa Imani Ibrahimu ulinena Naye ukasema utampaa watoto Bado alilia
Japo alijua Baba wewe ndiye utampatia Moyo wake uliteseka Japo alijua Isaka Ni mtoto wa pekee Alijua utampa watoto wazuri
Pamoja Nakuomba unatufundisha Lakini mioyo inauma Usituache Wana tukapotea Usituache Wana tunaangamia Usituache Baba Usituache Wana tutapotea Usituache Baba
Usituache Wana tutapotea Usituache Yesu Usituache Baba Tutapotea
Usituache Baba Tutapotea Usituache Baba Usituache Wana tutapotea Usituache Yesu Usituache Baba Tutapotea