Ni siku kuu siku ile Ya kumkiri Mwokozi! Moyo umejaa tele Kunyamaza hauwezi Ni siku kuu siku ile
Ya kumkiri Mwokozi! Moyo umejaa tele Kunyamaza hauwezi
Siku kuu! Siku kuu! Ya kuoshwa dhambi zangu kuu Siku kuu! Siku kuu! Ya kuoshwa dhambi zangu kuu
Tumekwisha kupatana Mimi wake,Yeye wangu Na sasa nitamwandama Nikiri neno la Mungu Tumekwisha kupatana Mimi wake,Yeye wangu Na sasa nitamwandama Nikiri neno la Mungu
Hukesha na kuomba tu Ameniongoza miguu Suku kuu! Siku kuu! Ya kuoshwa dhambi zangu kuu
Siku kuu! Siku kuu! Ya kuoshwa dhambi zangu kuu Siku kuu! Siku kuu! Ya kuoshwa dhambi zangu kuu