Mwenzio sipiganagi mwenyewe Ninapiganiwa na Baba Mwenzio sishindanangi mwenyewe Ninashindiwa na Baba Mwenzio sipiganagi mwenyewe
Ninapiganiwa na Baba
Mwenzio sipiganagi mwenyewe Mwenzio sishindani mwenyewe Mimi vita sijui Mimi vita siwezi Asema nitulie atajibu
Kuna majira vita huja kwangu Kuna majira watesi waliniunikia Kuna majira nilitaka kupambana mwenyewe Nikasikia sauti, sauti imebeba ushindi wangu Ikaniambia mimi ni Baba yako Usipigane mwenyewe mwanangu
Mwenzio sipiganagi mwenyewe Ninapiganiwa na Baba Mwenzio sishindani mwenyewe
Ninashindiwa na Baba Mwenzio vita nimekataa Ninapiganiwa na Baba