Tangu ile siku tuku-elect, haushikagi simu man ´tuwezi connect Nimekuwa nikisaka an appointment Nimekuwa niki-suffer disappointment Siku hizi si hukuonaga kwa telly
Sisi maubao, wewe lunch hoteli Panganga panganga na ma-pot belly Conmen, watchmen wanakupangia wakikusalimia Na we huwezi notice hata huwezi dhania Siku hizi country yote venye kuna njaa Kila mtu anafikiria tu chapaa
Don´t push me ´coz I´m close to the edge I´m trying not to lose my head Ni kama jungle sometimes mimi hu-wonder mbona sijaenda under
Na wale wana dooh ni one percent Si huwaonanga siku ya kulipa rent Sisi hukuanga ndani ya predicament Biggest spender government and church officials Na miracles zao so artificial The congregation wako so superficial
Wanataka ule Mungu mu-beneficial Unofficial kitambulisho unaweza get in a few days Unaweza get in a few ways Unaweza get bila delays Nowadays hosi hakuna ma-doctor Na gava haijali juu sisi wagonjwa tukienda private tuta-pay so ni obvious nani ana say
Don´t push me coz im close to the edge I´m trying not to loose my head Ni kama jungle sometimes mimi huwanda mbona sijaenda under
Hakuna dooh ka mafuta ya Waarabu Lakini pia dooh kwa futa si ajabu Vile kina Sep Blatter wamepakua dooh ka bufett kwa platter Na vile sisi hupendanga news
Na vile sisi hupeaga views, ma-likes, ma-shares, kuji-amuse Na world affairs, ma-world issues siku hizi ni za social media Modern daily, encyclopedia Kufuata hawa ma-socialite wakienda Naija ku-socialize
Don´t push me coz im close to the edge I´m trying not to loose my head Ni kama jungle sometimes mimi huwanda mbona sijaenda under
We can´t breathe no We can´t breathe no We can´t breathe heh We can´t breathe huh...