Nilikuwa napiga maround Kwa poke jo niko na a thousand Navuta matire kwa club na hamu Sitoki hata muite bouncer
Nataka kadem kaslender Haga ni ndogo doh nitamwaga Sofing ka therm chrome jo Bado niko handas flow ka saba
Morio alikataa defeat Alipita hii zone shindwa ako missing Alidhani amenyora kwa kitanda Lord kumbe ni upini inachange
Leo ni kumoto niite tu ding ding Dem anasmile nampiga tu dickings Ju ya mic siwezi kuwa na pressure of course Bloody just mind your business
Anataka nimtreat ka princess Stupid bitch nikastick na simen Naita chopper wanapullup na bleki
Boy ako shocked amejaa tu machilling
Niko na morio alilala nje Ju dem alianza kupiga madrilling So far ni mimi na hawa marapper Wa songa niimbe kamili
Am aim for the killing Jo niko wicked inabidi meds Walinishika na intent to supply Kwani mlinusa hio ndom kwa fence just in case alipewa tatu kwa mgongo Vile Ig alikuwa anaflex Rest assured mi hukuja na ndeng´a Bet ni sure ili pop what´s next
Ilikuwa mimi solo na mbogi mtu 8 Na hadi sikujaa
Huku chini nimedunga ma air Red macho na bado sijaskunk Nilikuwa na hopes sana Tulicross burn Huyu morio akibonga ufala Dummy doesn´t know we are here for fun
Nikiwa default mode wanagwaya Hio keja ya mabati iliguzwa Buda jo iza jo mi sina ubaya Kuna dem ako shopping Hopes ni akuje kejani adandie sapa Dem amedandia Trust ka chwani wiki moja Sijui nimuite malaya Sijui nianze tu na pagans atapanua Eventually niko na patience 6AM niko wera niko na bad intentions