17 flexxing on everybody Yoh siwezi bonga sana shh na sssh Walizama kwa hii rizla Sai niko magode mashada Na bado kejani mi huset mambichwa
Tuliwaeka lockdown, lockdown Morio alihepa akajipata kanisa Saa tisa na ibada iko active Ching hadi morio ashikwe na seizure
Mi hukuwa on toes niko opp block Ka empire na ndom Niko na morio aliseti cham kibao Hakuona hadi rithe ikikuom Skrr pah scramble kwa ploti
Jaba imekatika hakuna haja ya njoti Hizi sides ni mang´aa Ka ni mbleina kataa Me hukuja na videvu na si ndondi
Nakumbuka hio day ni kama ni jana
Vile morio alikuja sana Nilimake it rain na mi si Rihanna Uyu alidai kunipiga makata
Atoke kejani nada kudinyana Nadai kuzimana Morio aliona GTA akadai kuitana Lakini iii blade iko dryspell Ako wapi ule morio alisema tusipatane? Sahii ako offline kwenu ni Karen Sijui mbona unarep namba nane
Dem alikuwa shoulder knees and toes We ulikuwa shoulders whip na mabare Morio anaforce hawezi vuta ndom Na kejani amejaza tu mangale
Matumbo iko on incase hio ganji imake
Bro alisema dip hio neck Izi stakes ziko high we don´t make mistakes (Izi stakes ziko high we don´t make mistakes)
Bado ilikuwa mi na gang nzima I don´t wanna be broke tukahop ndani ya Benz Mmmh aye (Kweff his dead) Nikisema tumpate jo tunampata Hakuna haja ya planning
Different strokes game ni same Huyu amejaza pupa si Fally Umekuwa bench line-up ni same Bado tuko magode na hatujai kuwa ma addict
Miaka ka kumi na unadai fame Kwani umeanza hizo form za adric Nilicount hizi ganji from way back
Ujue hii ni routine Chain imeenda gang and fro Na bado umadhani uko unique Si nlikushow hawa madem hupenda tu form Na chai ya saa kumi itabaki kwa street Kwanza usinishow bado sssh Hubonga next time nikimuona nitamuacha akibleed
Mi hukuwa on toes niko opp block Ka empire na ndom Niko na morio aliseti cham kibao Hakuona hadi rithe ikikuom Skrr pah scramble kwa ploti
Jaba imekatika hakuna haja ya njoti Hizi sides ni mang´aa Ka ni mbleina kataa Me hukuja na videvu na si ndondi
Siwezi bonga sana shh na sssh Walizama kwa hii rizla Sai niko magode mashada Na bado kejani mi huset mambichwa
Tuliwaeka lockdown, lockdown Morio alihepa akajipata kanisa Saa tisa na ibada iko active Ching hadi morio ashikwe na seizure