Back to back mi hukuwa tu lowkey Back to manual settings Mi nambitika hakuna haja ya mbogi Habari zilikuwa turn off Si huyu ni ngwes akule ma syoki
Ilikuwa tu mi na PM hio day Hatukupull up na mbogi
Acheni gossips sichezi na ganji Mi hucheza na pongi I´m addicted bado kuja hii mtaa Waambie hatuogopi hio moshi
Waambie niko na blade Hii nakunywa niite kinyozi Ni masweep ka tatu Boy aliona Natty akapiga magoti What if ningekuwa na masaa? Sai ningekuwa tu missing
Vile shee alipiga malap Hio day ungedhani ye jo ni vintage Ukiona bro amepull up na shang
Jua ni certified chings Na huyu dem anadai ako njaa - dogi hapo chini
Pop flow niko bossy Nipate juu ya shash napiga mamoshi Huyu bro akinicross namgeuza fossil Nilisema hakuna 4 ka 4 sio fourty Rong nikistone mnageuza roadi Boy ni rong nadai tu manoti
Pop flow niko bossy Nipate juu ya shash napiga mamoshi Huyu bro akinicross namgeuza fossil Nilisema hakuna 4 ka 4 sio fourty Rong nikistone mnageuza roadi Boy ni rong nadai tu manoti
Sameway ninaback hii rival Ndio same way nitaback my bros Na huyu alianza dwelling juzi Saa hii anajiona G.I Jo
Dem ako knee high no fee line But hii chuma inaingia chrome Nikijirudia bado mi ni savage Work class chinger niite rong
Siwezi kuwa back to back na hao marapper Ina verbals acha nikushow Mi ni mkali graph sionekani Niko juu ya hio page on God
Umefika na hio mali sana Why the fck do they stay on road Ukisema huku nnje unaonekana
But ---
Move hio terrain huyu mthfcker namblein Shots ni tatu mbili za huyu arif Moja du dot kwa brain Zamisha hii rambo toka kitambo Mi nipate hustle Dem amenona ni wa Kansoul Jeshi ni trouble Splash hadi zone na vako
This is the life we living Dripping juice namuacha tu swimming Bado piga roundi saa saba Rambo katikati mi humuita greenies Niko ndom jo ozone ceiling Shifting gears we ni mbombo bitching Alisemanga am solo, silly aliona
Mtu 8 ju ya mask ka master
Pop flow niko bossy Nipate juu ya shash napiga mamoshi Huyu bro akinicross namgeuza fossil Nilisema hakuna 4 ka 4 sio fourty Rong nikistone mnageuza roadi Boy ni rong nadai tu manoti
Pop flow niko bossy Nipate juu ya shash napiga mamoshi Huyu bro akinicross namgeuza fossil Nilisema hakuna 4 ka 4 sio fourty Rong nikistone mnageuza roadi Boy ni rong nadai tu manoti
Sameway ninaback hii rival Ndio same way nitaback my bros
Na huyu alianza dwelling juzi Saa hii anajiona G.I Jo
Pop flow niko bossy Nipate juu ya shash napiga mamoshi Huyu bro akinicross namgeuza fossil Nilisema hakuna 4 ka 4 sio fourty Rong nikistone mnageuza roadi Boy ni rong nadai tu manoti