Nitakapomwona mwana wa adamu akija mawinguni kunichukua Na malaika wakishangilia eeh sipati picha nitakavyo kuwa Nitakapomwona mwana wa adamu akija mawinguni kunichukua
Na malaika wakishangilia eeh sipati picha nitakavyo kuwa Mimi natamani mbingu mpya na nchi mpya Yerusalemu Aliyoiandaa mwanakondoo kwangu ni fahari na heshima kubwa Mimi natamani mbingu mpya na nchi mpya Yerusalemu Aliyoiandaa mwanakondoo kwangu ni fahari na heshima kubwa Nitakapofika kwa Baba yangu nitaketi naye nikimtazama Nderemo vinubi na tarumbeta sipati picha itakavyokuwa Nitakapofika kwa Baba yangu nitaketi naye nikimtazama Nderemo vinubi na tarumbeta sipati picha mimi siku hiyo Mimi natamani mbingu mpya na nchi mpya Yerusalemu Aliyoiandaa mwanakondoo kwangu ni fahari na heshima kubwa
Mimi natamani mbingu mpya na nchi mpya Yerusalemu Aliyoiandaa mwanakondoo kwangu ni fahari na heshima kubwa Atakaposema karibu mwanangu taabu za dunia hautaziona Nikiyalaani milele yote kwa raha zangu mimi sipati picha Atakaposema karibu mwanangu taabu za dunia hautaziona Nikiyalaani milele yote kwa raha zangu mimi sipati picha Mimi natamani mbingu mpya na nchi mpya Yerusalemu Aliyoiandaa mwanakondoo kwangu ni fahari na heshima kubwa Mimi natamani mbingu mpya na nchi mpya Yerusalemu Aliyoiandaa mwanakondoo kwangu ni fahari na heshima kubwa