Mungu hawezi kuahidi kitu chochote Kama ana mashaka Vyote alivyoahidi anaweza kutimiza Kila alichoahidi kiko ndani ya uwezo wake Mungu hasemi uongo wala hadanganyi Alichoahidi hawezi kusahau
Ahadi za Mungu sio deni Ahadi za Mungu ni kweli Ahadi za Mungu subiri Atazitimiza, atazitimiza
Mungu amesema tuombe lolote kwake Tuombe lolote kwa jina lake Ameahidi atatupa vyote
Na hatopoteza chochote
Alivyoahidi haanzi kutafuta Alivyoahidi anavyokavitunza Alivyoahidi amevitunza Ameviweka kwenye ghala ya baraka
Anasubiri muda mwafaka Aweze kutupatia Hata kama inachelewa ingoje Ahadi ya Mungu ingoje
Mungu hasemi uongo wala hadanganyi Alichoahidi hawezi kusahau Mungu hasemi uongo wala hadanganyi Alichoahidi hawezi kusahau
Ahadi za Mungu sio deni
Ahadi za Mungu ni kweli Ahadi za Mungu subiri Atazitimiza, atazitimiza
Ahadi za Mungu sio deni Ahadi za Mungu ni kweli Ahadi za Mungu subiri Atazitimiza, atazitimiza
Ni kweli, ni kweli Ahadi zake, upendo wake, neno lake Ni kweli, ni kweli Ni kweli, ni kweli