Nijapopita kwenye bonde la mauti Sitaogopa maana wewe uko nami Gongo lako na fimbo yako Eh Bwana vyanifariji Wanifanyia amani Umesema ya kwamba hutaniacha Sababu mimi ni mboni ya jicho lako Bwana wanitazama asubuhi mchana jioni Eeh Bwana  kweli Mungu wa baraka
Amebadilisha uchungu wangu Umekua ni furaha yangu Huyu Yesu amenipa furaha Kanifanyia amani This Jesus gave me joy Amebadilisha machozi yangu Yamekuwa ni furaha yangu Huyu Yesu amenipa furaha  kanifanyia amani
Furaha unipayo siyo kama ya dunia hii Amani unipayo siyo kama ya ulimwengu huu We waniganga moyo nipatapo uchungu Wanifanyia amani You grant me peace
Amenifanyia furaha He has granted me joy Kaondoa huzuni yangu Kanifanyia furaha