Una wasi wasi Hofu na mashaka Unahisi moyoni kama MUNGU kakuacha Maana unaona hausogei wala huendelei Uko palepale kila siku
Uko vilevile
Una wasi wasi Hofu na mashaka Unahisi moyoni kama MUNGU kakuacha Maana unaona hausogei wala huendelei Uko palepale kila siku Uko vilevile
MUNGU aliianzisha safari tena ataimaliza Maana alikujua kabla hujajijua kabla hujazaliwa MUNGU hawezi kukuacha njiani Safari yako aliianzisha mwenyewe Asingetaka angekuacha mwanzoni Unakokwenda yeye anajua
MUNGU hawezi kukuacha njiani
Safari yako aliianzisha mwenyewe Asingetaka angekuacha mwanzoni Unakokwenda yeye anajua
MUNGU hawezi kukuacha njiani Safari yako aliianzisha mwenyewe Asingetaka angekuacha mwanzoni Unakokwenda yeye anajua
MUNGU hawezi kukuacha njiani Safari yako aliianzisha mwenyewe Asingetaka angekuacha mwanzoni Unakokwenda yeye anajua
Anajua .... Anajua Anajua... Anajua
Atainyosha njia yako
Atainyosha njia yako Ina mabonde (kweli) Ina vikwazo vingi Atainyoosha njia Njia yako