Mungu umezungukwa na sifa Duniani na mbinguni Mungu umezungukwa na sifa Duniani na mbinguni
Duniani twakusifu Na mbinguni twakusifu Mungu umezungukwa na sifa

Hallelujah Hallelujah Umezungukwa na sifa Hallelujah Hallelujah Umezungukwa na sifa

Wenye uhai wanne Wamekuzunguka pande zote Wakisema Mtakatifu ni wewe
Wakipanga sauti zao Kwa nguvu bila kuchoka Wakisema Mtakatifu ni wewe
Ni wewe, ni wewe Ni wewe, ni wewe Ni wewe, ni wewe Ni wewe, ni wewe
Ni wewe, ni wewe (Wakuabudiwa) Ni wewe, ni wewe (Wa kupewa sifa) Ni wewe, ni wewe (Eeeh) Ni wewe, ni wewe (Ni wewe Bwana mengi yako) Ni wewe, ni wewe (Mungu wa miungu Bwana)
Ni wewe, ni wewe (Bwana wa mabwana) Ni wewe, ni wewe (Mfalme wa wafalme) Ni wewe, ni wewe (Nani mwingine kama wewe Bwana) Ni wewe, ni wewe (Wa kupewa sifa Bwana) Ni wewe, ni wewe (Wewe ni Mungu mwenye nguvu Bwana)