Unaringa kitu gani we mwenyewe ujisute Afadhali hata Nyani sio we Mwanamke
Hupendezi asilani so unyoe au usuke Nilifuata kitu gani umefanya nijute Hah Mimi nakonda pungua eeeh na usikurupuke Kwanza naongea na nani naomba nikumbushe Mimi na wewe hatuendani jipandishe jishushe Usinipande kichwani namba yangu ifute
Hizo dharau mwanamke ulopata Naona unasahau .. zako nilikata Nimepanda chati mkataba nimekata Tena Nyang´au ndo ukome kunifuata
Unaringa una nini kijuso Vijimeno kama Jini Gaucho Kwani nawe una nini Kituko Uso na kazi mjini Upo upo Punguza kelele ooh kelele acha kelele mama kelele
Punguza kelele baba kelele acha kelele bwana kelele
Eti nawe unavimba perfume tu mtihani Kwanza shati ulovaa umeazima kwa nani? Wanifuataa Kapuku utanipa nini? Wanifuataa leo kimekuwasha nini?
Funga bakuli mbele yangu wewe mshamba Nakujua vizuri toka unavaa mabwanga Wakati unanuka moshi huna hata ishu Kwenye pochi wanja na tishu
Unapenda ganda la ndizi kuteleza Wakati kupambana mpaka mchuzi wa Pweza Dume zima tantalantala instagram inahu Wakati kwenu kula kulala huchangii hata kitunguu
Hizo dharau mwanamke ulopata Naona unasahau .. zako nilikata Nimepanda chati mkataba nimekata Tena Nyang´au ndo ukome kunifuata
Unaringa una nini kijuso Vijimeno kama Jini Gaucho Kwani nawe una nini Kituko Uso na kazi mjini Upo upo Punguza kelele ooh kelele acha kelele mama kelele Punguza kelele baba kelele acha kelele bwana kelele Unaringa una nini kijuso Sijui meno kama Jini Gaucho Kwani nawe una nini Kituko Uso na kazi mjini Upo upo Punguza kelele ooh kelele acha kelele mama kelele Punguza kelele baba kelele acha kelele bwana kelele