Kimaso maso aah, umenifuta machozi Umenifuta jasho aah
Nimesahau machungu naenjoy kwako aah Niko dunia nyingine eeh
Nitachonga barabara ya mapenzi mi nipite nawe Iwe imara imara kwa ujenzi kokoto mawe Naomba sana saa kwa Mwenyezi nizikwe nawe Unang´ara ng´ara mbalamwezi such a
Oh my God I feel so lucky to have you in my life Oh my love You are the bleesing for me, from above
Oh my love I´ll be your man forever You will be my wife Baba God atulinde mi nawe Together for life yeah
Unapendeza sana sana (Zue, Zuena) Unanimaliza sana sana (Zue, Zuena) Zuena aah (Zue, Zuena) Zuena ooh I love you (Zue, Zuena)
Zue, Zue, Zue, Zuena (Zuena) Zue, Zue, Zue, Zuena (Zuena)
Kanitoa bahari ya kusi Kanileta mashariki (Zuena) Mwenye uzungule, mwenye nyeusi nyusi Hizi mbichi haziliki (Zuena)
Nikupindue pindue Kama nageuza samaki (Samaki) Wasiojua wajue Nimekupenda sikuachi
Oh my God I feel so lucky to have you in my life Oh my love You are the bleesing for me, from above
Oh my love I´ll be your man forever You will be my wife Baba God atulinde mi nawe Together for life yeah
Unapendeza sana sana (Zue, Zuena) Unanimaliza sana sana (Zue, Zuena) Zuena aah (Zue, Zuena) Zuena ooh I love you (Zue, Zuena)
Zue, Zue, Zue, Zuena (Zuena)
Zue, Zue, Zue, Zuena (Zuena)
[Weasel] Am addicting mum Falling for your love my heart twisting Bolinga ka suti.. na mukwano interesting Chungwa la macho mama Wanauliza mbona unanipenda Wanna put a ring in your finger
Zue, Zuena, Zue, Zuena Zue, Zuena, Zue, Zuena
Unapendeza sana sana (Zue, Zuena) Unanimaliza sana sana (Zue, Zuena) Zuena aah (Zue, Zuena) Zuena ooh I love you (Zue, Zuena)
Zuena, Zue, Zue, Zue In everything you do do do I love you boo boo boo You are my Zue, Zue, Zue I mean Zue, Zue, Zue You are my boo boo boo