Girl your the one with trillion My princess I swear I´m gonna marry you
God´s my witness Unanijalia on my weakness Girl you got eight figure natural You don´t need fitness
Iliponikataa dunia, nikajua na wewe utaniacha Moyoni niliumia Nikajua sitoweza tena kukupata Kumbe hukuwa na upendo bandia Moyo wangu bado ukaukumbata Nikisema nakupenda nawe nipenda pia Tuvae sare-sare yani kama mapacha
We´re Bonnie & Clyde, Aaah! Girl we meant to be, Aaah! We´re Bonnie & Clyde, Aaah! Forever you and me, Aaah! Tunza heshima kwa baba na mama
Walio kuzaa mwana Natuombe mungu hatuvushe ujana Mti wenye matunda huna andamwa Acha wanao tukana Tabasamu lako basi linawachoma jamaa
Na watakereka sana Kwenye baridi uwekoti Kwenye mvua uwe mwamvuli Wanifariji sichoki Kwenye njua kinvuli, Yeah! Yeah Yeah! Iliponikataa dunia, nikajua na wewe utaniacha Moyoni niliumia Nikajua sitoweza tena kukupata Kumbe hukuwa na upendo bandia Moyo wangu bado ukaukumbata Nikisema nakupenda nawe nipende pia Tuvae sare-sare yani kama mapacha (We are)
We´re Bonnie & Clyde, Aaah! (Girl we may..) Girl we meant to be, Aaah! We´re Bonnie & Clyde, Aaah! (My princess) Forever you and me, Aaah! Iiiii-iiii-iiiiii-iii! (I love you)