Nahisi nina bahati mbaya kipi nilicho kosea Nikijaribu kutafuta shida ndo zinakolea Mifukoni hali mbaya sio kama najitetea Ile pesa ya kusuka mbona nilikuletea Mawazo yani yananikolea
Nikupe nini usijepotea Ndubura yani inanyongâonyea Lilinde penzi lisije teketea Vitunguu mboga za majani laki tano kwenye genge Nyama tu nikupe million kwani unapika kenge Si jana tu nimelipa pochi na doti za vitenge Viatu juu ulivyojumua kama una duka mwenge
Chuma ulete chuma ulete Usiwe chuma ulete Nisije kubadili jina ninakuita Chuma Ulete Chuma ulete mama chuma ulete Usiwe chuma ulete Nisije kubadili jina ninakuita Chuma Ulete
Pesa sio nguvu za milundi kunyenyua jiwe juu chini
Tukitoka unakuja na kundi gharama zote juu yangu mimi Unanasa pesa kama gundi sasa mimi nitumie nini Kila siku kushona kwa fundi kama mpambaji wa shuhulini Eti nguva inaita mara mapande sita Mshazali umeshika hakuna fashion inakupita eeh Juzi ulikunja ndita wataka mchele tani sita Mama mbona unanitisha kwani unafutulisha
Mawazo yani yananikolea Nikupe nini usijepotea Ndubura yani ninanyongâonyea Lilinde penzi lisije teketea Vitunguu mboga za majani laki tano kwenye genge Nyama tu nikupe million kwani unapika kenge Si jana tu nimelipa pochi na doti za vitenge Viatu juu ulivyojumua kama una duka mwenge
Chuma ulete chuma ulete Usiwe chuma ulete Nisije kubadili jina ninakuita Chuma Ulete Chuma ulete mama chuma ulete Usiwe chuma ulete Nisije kubadili jina ninakuita Chuma Ulete