Utamu wa mapenzi Sitamani uishe Sitamani ukatike Tusifike mwisho Mmh deka mapenzi
Ukitaka nikulishe Na pete nikuvishe Mi nawe mpaka kifo (Motif di don)
Nime amua, moyo umekuchagua Hakuna wakusumbua, mimi ni wako Mmh naomba dua, penzi lizidi chanua Na lisiache kukua, nibaki kwako
Malaika wamefananisha Uzuri usio jificha We wangu wa maisha Malaika wamefananisha Uzuri usio jificha We wangu wa maisha
I´ve fall in love, fall in love
I´ve fall in love, fall in love
Tabasamu lako (lakoo) Midomo macho (machoo) Upendo, huruma umezawadiwa Tamu tamu yako (yakoo) Sitoki kwako (kwakoo) Mapendo huduma umejaliwa
This is love I have been looking forever mine I have been searching, my baby With you, ooh no no This is the love I have been waiting Forever love I have been searching My baby, my baby
Malaika, wamefananisha
Uzuri usiojificha We wangu wa maisha Malaika wamefananisha Uzuri usiojificha We wangu wa maisha
I´ve fall in love Fall in love I´ve fall in love Fall in love I´ve fall in love