Nilianza kusikia sauti yako Kabla sijaona sura Ikafanya nikageuka Macho yangu yakakutana na yako Oooh Mashallah Nikahisi Malaika ameshushwa
Maana rangi macho umbo lako Likanivuta kwako tuongee Nikakuuliza jina lako namba yako Ndio ulikuwa mwanzo wa mi na wewe Uuuh baby
Umenifungulia dunia ya mapenzi Nimesahau mateso Nakufungulia dunia yakukuenzi We ni wangu leo na kesho eeeh eeeh
Nakupenda, sikuachi We ni wangu, I promise Nakutaka, kando yangu Sikuachi, I promise Mi na wewe
Forever, forever Forever, me and you Me and you forever, baby Forever, forever Forever, mi na we Nitazikwa nawe
Mtoto mbichi teketeke aki mama umelainika Umeumbika acha nikumwagie sifa Waruke sarakasi na mateke uzuri wako hawatofika Mama umejazisha mikate yakumiminisha
Baby waonyeshe cheko (cheko) Wape mideko (deko) We mzuri, filter na make up waachie wao Na unawapa mateso (teso) Watajifunika leso Waonyeshe kiburi wajue wewe ndio mama lao Aiyaa yaaah
Umenifungulia dunia ya mapenzi Nimesahau mateso Nakufungulia dunia yakukuenzi We ni wangu leo na kesho