Hata wajiweke filter Uzuri wa sura yako hawatafika ooh Mama umekamilika ooh Wasiokupenda ona wanakunja ndita ooh
Na unajua kupika ooh Nikishakula natamani kukulipa oh Hakuna kitu ananificha sa Katongozeni nije kuwaaibisha oh
Mungu kakupendelea ndo maana unaringa Geuka shepu ina bembea ndo maana unavimba Na hizo dimple ukinichekea nyusi umezitinda Nipe nitakupelekea wiki tunamimba, aah
Nikitoka leo kongoni nishuke uvinza, Aah Ukinipa kinondoni nikuombe sinza, aah Hizi cassava kamenyamenya Akibana inapenya penya Manzi wa kanairo Kenya Kenya Kwenye giza nimekatekenya
Mtoto fundi we, fundi aah
Fundi eeh, anayajua mama Mtoto fundi aah, fundi aah Fundi eeh, anayajua mama
Mtoto fundi we, fundi aah Fundi eeh, anayajua mama Mtoto fundi aah, fundi aah Fundi eeh, anayajua mama
Uno la kidigo sura ya kimasai Shepu la kinyaki afro nywele Dubai Meno ya kichaga Oldonyo Lengai Haikatoks, haikatai Ma, sweety nyonya hio ka pipi Ukikalia kwa kiti, pressure hio ni bidii
Mungu kakupendelea ndo maana unaringa Geuka shepu ina bembea ndo maana unavimba
Na hizo dimple ukinichekea nyusi umezitinda Nipe nitakupelekea wiki tunamimba, aah
Nikitoka leo kongoni nishuke uvinza, Aah Ukinipa kinondoni nikuombe sinza, aah Hizi cassava kamenyamenya Akibana inapenya penya Manzi wa kanairo Kenya Kenya Kwenye giza nimekatekenya
Mtoto fundi we, fundi aah Fundi eeh, anayajua mama Mtoto fundi aah, fundi aah Fundi eeh, anayajua mama
Mtoto fundi we, fundi aah Fundi eeh, anayajua mama Mtoto fundi aah, fundi aah