Najichanganya hiliki na mdalasini Lowesha nguo nisiende kazini Nkichafuka nifute kwa ulimi Aaah raha raha Ooh oooh..oooh
Honey love sweetheart teamo My love, my baby, my everything
Honey love sweetheart teamo My love, my baby, my everything
Yeah yeah yeah yeah... Yeah yeah yeah yeah...
Mapenzi ni kama upepo Unavuma ukipepea mioyo yetu Umevumini kwetu vicheko Wameona ununa hizo sio shida zetu
Na wanune, wanune wanune Na wanune hawakosi cha kusema paka shume Si umuache, wacha tukusaidie So tukonaye, acha tukusaidie Mlisema wa nini, acha tukusaidie Acha tukusaidie