Huu mwaka eeh Ndio mwaka wa kufosi Yaani mtake msitake Huu mwaka mtaniita boss Oya! Si eti eeh mmmh
Oh no no no, ooh aah (Ma Feelings make It) Huu mwaka eeh Ndio mwaka wa kufosi Yaani mtake msitake Mtaniita boss Huu mwaka eeh Huu mwaka eeh Huu mwaka eeh Huu mwaka eeh Kwanza nashukuru tumevuka (Tumeuona) Yale yaliopita yametukomaza Oya wanangu wa bodaboda (Eeh) Wa akina mama wauza mboga (Eeeh) Hata wachawi wabeba nyota Huu mwaka ni wetu Kama unadanga danga sana Ila usisahau kumake bwana
Uje kujenga ka kibanda Nawe uwe na kwenu Na ukipata limama, eh likomoe Likupe pesa huu mwaka utoboe Oya usikae kizembe na usichague jembe Kama mkulima lima Kama unaimba imba utoboe Huu mwaka eeh Huu mwaka eeh Huu mwaka eeh Huu mwaka eeh Oya wanangu wa bodaboda (Eeh) Wa akina mama wauza mboga (Eeeh) Hata wachawi wabeba nyota Huu mwaka ni wetu Kama unadanga danga sana Ila usisahau kumake bwana Uje kujenga ka kibanda
Nawe uwe na kwenu Na ukipata limama, eh likomoe Likupe pesa huu mwaka utoboe Oya usikae kizembe na usichague jembe Kama mkulima lima Kama unaimba imba utoboe Huu mwaka eeh Ndio mwaka wa kufosi Yaani mtake msitake Huu mwaka mtaniita boss Huu mwaka eeh Ndio mwaka wa kufosi Yaani mtake msitake Huu mwaka mtaniita boss Huu mwaka eeh Huu mwaka eeh Huu mwaka eeh Huu mwaka eeh