Sipendi tuchukiane Naugua kila nikikumbuka zamani Sisemi turudiane Najua kwako ni ngumu haiwezekani
Ila I want you to know I miss you (I miss you baby) I miss you (Aah...) I miss you (Nakukumbuka weee) I miss you (I want you to know) I miss you (Nakukumbuka wee...) I miss you (Nakukumbuka baby) I miss you (Oooh ah iyee) I miss you (I want you...)
Aah...Aah...Aah... Alisema selegogo penzi ni kama mmea Hauchepui mhogo, pale pasipo mbolea We, vilikushinda vidogo, hata vya kunitetea Vikaondoka vifijo, nderemo zikapotea
Nia ya moyoni mwangu Wewe ulijaza mira
Nikupe pole mwenzangu Pengo lako limezibwa
We endelea na wafuga kucha Kina Sidika na Huddah Kile kiu zile, ooh
Ila tambua kama niliza bucha Twazidiana ukubwa nyama ile ile Sipendi tuchukiane Japo najua, Mungu amenilinda na mengi Na sisemi turudiane Ila tambua mimi nilipovunja sijengi Na niko salama
I miss you (Oooh hey) I miss you (We niache) I miss you (I´m doing just fine)
I miss you
I miss you (I don´t miss you no no no..) I miss you (No no no no...) I miss you (Hey) I miss you (Aah...) I´m doing just fine hey