[Diamond Platnumz] Hhhhmm! Ah! Leo Chereko chereko Mwanenu nimekuwa Zile kuringa mideko itapungua
Ahsante mama ulinifunza nkajua Baba kasema kuomba mwiko Raha ya chumvi kununua Tena si kwa nazi Si hirizi za waganga Kwa baraka za baba na mama Tu na dua Waambie paparazi Pingamizi wenye viranga Waliosema hayawi hayawi yamekuwa Ooooh! Oh!
Iyena Iyena (Aah Iyeena) Iyena Iyena Ntawakumbuka sana
[Diamond Platnumz] Ooh! Ndoa baraka Ukipata ushukuru Maana wanayoililia ni wengi sana Kwetu talaka Kuitoa ni kufuru Nimefunzwa vumilia Niushinde ujana Ili kesho mahususi Kusudi wasinong´one Embu nichumu niringe washushuke Na hii pete ya harusi Nakuvisha waone Wakale sumu
Wavimbe wapasuke
[ Diamond Platnumz & Rayvanny] Eeh! Ati nashika nanga Nteke nsichomoke ndani (Anameremeta) Futa namba wablock vimada wa zamani (Anameremeta) Sio vijembe vya kanga waziwazi mambo hadharani (Anameremeta) Waliopanga mwenye nyumba kaja ndani (Anameremeta)
Iyena Iyena Kwaheri tutaonana (Eh! Kwaheri Baba Mama) Iyena Iyena (Iyeee) Iyena Iyena (Hhhmm) Iyena Iyena Ntawakumbuka sana
[ Diamond Platnumz & Rayvanny] Saa nataka kusasambua (Sasambu) Me nasasambua (Sasambu) Aby Dad nasasambua mimi (Sasambu) Sasambua! Tuone Mguu moja juu (Sasambu) Usishushe chini (Sasambu) Cheza jitazame (Sasambu) Sasambua! Tuone
Aisha kimobitel (Sasambu) Nipe za baloteli (Sasambu) Nyonga kibaiskeli (Sasambu) Sasambua! Tuone Akaa kama unashika ukuta (Sasambu) Ifanye unashusha (Sasambu) Taratibu zungusha (Sasambu) Sasambua Tuone Sasambu! Sasambu! Sasambu! Sasambua! Tuone Kama unawasha bajaji (Sasambu) Imwagie na maji (Sasambu) Tuwakomeshe vizazi (Sasambu) Sasambua! Tuone