Bado Siamini ah Ivini mimi dah Waku shindwa kula na kunywa na sihisi jaa Nilikuamini ah Umefanya nini na Bado moyo unama jera ntapona lini maa Ona wewe, una enjoy Umesha move on una amani Ona mimi, niko hoyi Yameni chosa mapenzi siyatamani Aliniambiya atanipenda kwa shida na raha Mapenzi yote nilo jenga leo jera Bado siamini nilo mpenda kani kataa Kweli maumivu yaku tendwa hayana shujaa
Picture zake natamani ni chome Sura yake sitamani nione Maumivu kwake nifanye je nipone