Umeacha alama kumbukumbu isofutika Pengo lako Magufuli sidhani kama litazibika Moyo unalalama sisi bado twahuzunika Umefanya kazi ngumu juu jaa Basi nenda kupumzika jembe letu
Kifo kifo kifo Kifo kifo kifo Kifo kifo kifo Kifo kifo kifo (Hauna huruma) (Kwa nini kifo)
Machozi ya mama Samia yatafutwa na nani? Machozi ya Kassim Majaliwa atayafuta na nani?
Machozi ya Bashiru atayafuta na nani? Machozi ya Polepole atayafuta na nani Machozi ya Kassim Majaliwa atayafuta na nani? Machozi ya Watanzania atayafuta na nani?