Sifa kwa mola wangu maulana Kwa mengi aliyo fanya Hadi mimi na wewe Kukutana Kisura Sijapanga kudanganya
Ntasema Ukweli mama Kisa na kupenda sana Kisura Unasema wanipenda Ila Maisha yangu Maseke Michicha Milenda ndo menyu yangu Na ya kuku mateke Yani chenga kila siku kilio cha Sa lini ni cheke Sina tenda ugali bugurui Mboga temeke Nafurahi umeniridhia Niwe na wewe kimwali Maisha yangu mitihan Isiyoisha maswali Ukifika nyumbani Vumilia maana khali siyo shwari
Asubuh mchana pakavu jioni ndo kula futali
Tena huku kwetu Muda wote mateja wanatinga Viwalo vyetu ukifua Kumbuka kuvilinda Huku kwetu Muda wote mateja wanatinga Aiieeh Mwali ee Swali la nyumba na gari Me Bado Me bado Me bado Ndo kwanza nimepanga Bado iyeeee Me bado Sina hata kiwanja
Bado Iyeee Me bado kulipa kodi majanga Bado mimi bado me bado
Mtaani kwetu heka heka Ukienda sokon kariri vichochoro Ghetto na mkeka tu hakuna kitanda Shuka Wala godoro Heka heka hakuna kibatari Ndani Giza totoro Mvua ikinyesha nyumba Inageuka ka Boti ya Comoro Ila nimeshukupa aaah Nimeshakupa Mtima mtima Ukija kususa aah Utanizika mzima mzima
Tena huku kwetu Muda wote mateja wanatinga Viwalo vyetu ukifua Kumbuka kuvilinda Huku kwetu Muda wote mateja wanatinga Aiieeh Mwali ee Swali la nyumba na gari Mimi Bado Me bado Me bado Ndo kwanza nimepanga Bado iyeeee
Me bado Sina hata kiwanja Bado Iyeee Me bado kulipa kodi majanga Bado mimi bado me bado Swali la nyumba na gari Mimi Bado Me bado Me bado Ndo kwanza nimepanga Bado iyeeee Me bado Sina hata kiwanja Bado Iyeee Me bado kulipa kodi majanga Bado mimi bado me bado