Rushwa imekomeshwa sio kama zamani Siku hizi hata vigogo wanafikishwa mahakamani Fikra nzuri za baba wa taifa kaendeleza hadi leo Asilimia arobaini ya mapato kwa maendeleo
Mtu wa msimamo mataifa mengi yamekoma Mikopo isio na tija na miradi feki amekoma Alisema imekuwa sirikali sasa ipo Dodoma Kajenga ikulu cha mwino na kaipiga teke Corona
Aya flyover TAZARA Ubungo, Ndio! Standard gauge je? Ndio Hospitali na zahanati? Ndio Shule bure kwa wanafunzi? Ndio
Magufuli jembe Linalima, linalima lima linalima Magufuli jembe letu Linalima, linalima lima linalima
CCM jembe Linalima, linalima lima linalima CCM jembe letu Linalima, linalima linalima
Taifa nzima linamuombea mema Magufuli Wakulima kawapigania walipwe vizuri
Wamachinga, wanampenda Madereva, Wanampenda Mama ntilie, wanampenda Hadi watoto, wanampenda
Kina mama, wanampenda Vijana na wazee, wanampenda Hadi hadi wapinzani, wanampenda Japo wanavunga, wanampenda
Haya maji na umeme hadi vijijini, Ndio! Nidhamu serikalini, Ndio Mambo nimetukwa toka juu hakuna, Ndio Ndege kama zote, Â Ndio
Magufuli jembe Linalima, linalima lima linalima Magufuli jembe letu Linalima, linalima lima linalima
CCM jembe Linalima, linalima lima linalima CCM jembe letu
Linalima, linalima linalima
Haya twende Pasha, pasha Pasha, pasha pasha Kina mama pasha, pasha Pasha mikono pasha
Kina baba pasha, pasha Pasha pasha pasha Twendee
Magufuli, choma Mama Samia, choma Kassim Majaliwa, choma Hadi mangula, choma
Haya twende pole pole, piga makofi Mashiruali piga makofi
Dr Sheni piga makofi Wigulu Chemba piga makofi
Makonda mikono juu Kushoto kulia, kushoto kulia Kibakwala mikono juu Kushoto kulia, kushoto kulia
Mavunde mikono juu Kushoto kulia, kushoto kulia Tatulia mikono juu Kushoto kulia, kushoto kulia
Peperusha bendera, aah bendera, madiwani wote Peperusha bendera, aah bendera, wabunge wote Peperusha bendera, aah bendera, kina mama wote Peperusha bendera, aah bendera, CCM Peperusha bendera, aah bendera