Nikuimbie wewe aiih Woman of my life baby mama Nakupa mabawa fly Nai atadout apime uzuri wako wewe my Material wife huna drama, niende kwa mwingine why Cha mapenzi kina kipime Uone dhahiri upendo wangu Usije kunitupa weweee (aaaaah wewe) Sina mwingine, na sitobadili chauo langu Moyo wangu nakupe wewe (ah wewe) Chocolate color nywele laini Lips mafuta na zinashine Nguo za kung´ara hiyo dizaini Thanks to de lord now your mine Sema pwani ama bara Wapi fine Tukitoka out tukanywe wine Figure 8 kinara sio 9
Unapenda wasafi tutakusign
We ndio Mama mama mama La mama we ndio Mama mama mama La mama we ndio Mama mama mama La mama we ndio Mama mama mama La mama we ndio ama mama mama La mama
[Mr Blue] Nikitazama sura yake namuona model Naiona taswira ya adabu sioni nyondo Nauona mpapai alafu naokota embbe dodo Nawaona wasiopenda amani wote macho kodo
Mgepeleka wapi, hichi kichwa kigumu Ningepata wapi, mwanamke wakudumu Ajiunge na wasafi, tusukume gurudum Namnajuaga sitaki, haya mambo yakunywa sumu Mama la mama, oh mama mia Kwako nimezema nmezama nmezamia Niihifadhi kama maji,kwenye mwili wa ngamia Usijali kuhusu mambo ya tango na vibmia Nichakaze shori Nikanyage sorry Kwangu kuwa mchaga asubuhi nile kama mtori Tafadhari shori Usinipandishe mori Na ukinipa nyama naila kama nyama pori
We ndio Mama mama mama La mama we ndio
Mama mama mama La mama we ndio Mama mama mama La mama we ndio Mama mama mama La mama we ndio