Kuna maku ameniDM (DM) Anasema nyandu sku hizi unazima sherry fegi Umekuwa watu kinoma unahang out na kina vibegi Nikamjibu njoo nikukunje ile mbuzi kagoma -- we mpaka nidedi
Sku hizi kitu na filter Sidhani kama ungenijua kiundani Ungekubali kuwa hater Natokea uswahilini mguu shetani mguu jini
Bado mitaa imeniamini kama kiongozi wa dini R.I.P lango umekwenda umekwenda rafiki wa kweli Nimebaki mimi Siku hizi hawatuoni oni tunaishi local - Na Mungu anatuongoza Tujachukua ubingwa la ligi tunawaongoza Tamaa na shobo nyingi mabishoo vinawaponza
Wana nyumba za vioo Wanaleta shobo Eeeh wanaleta nyodo Eeeh wanaleta shobo
I say kinyago, nakuchonga unanitisha Lala na bango na team haitovunjika Tuliza kipago na mbwembwe zako za insta Ona napiga collabo na mwanangu wa maisha
Ey Mr Dj twende kwenye replay Ey Mr Wivu we mpaka wivu uishe Bongo tuiwakilishe mkunga usimzalilishe We mwenye nyumba, nyumba kauhalalalishe
Ahh Busy Babilon, kichaa la hiphop
Najulikana sana angani Mr Pipa Mashoot makali juu ya ndae golikeeper Hiphop inauza na getini mtalipa
Kilomita nyingi nanyoosha goti Mi ndondosha verse we ndondosha pochi Nadodosha noti unadodosha chozi Mi nagonga copy kagonge goti
Wana nyumba za vioo Wanaleta shobo Eeeh wanaleta nyodo Eeeh wanaleta shobo Eeeh wanaleta