Huyo miss buza, mama miss Buza Jamani miss buza, nampenda miss Buza Huyo miss buza, mama miss Buza Jamani miss buza, nampenda miss Buza
Rangi yake ya vidole kama ndizi za kuchoma Harufu yake ya wigi unapata Corona Hee kikipigwa kigodoro lazima utamuona Shughuli hajaalikwa, kijola ka shashola
Ila chumbani si gogo mwali Mbuzi kagoma kifo cha mende chali Uvunguni sakafu juu ya dari Ua mtoto anaupaka asali mama
Akiona simu anapita anapita nayo Eh! Akiona walleti anapita nayo Eh! Akiona dundo kali anapita nayo Yaani akiona begi kali anapita nayo
Ana msitu kwapani dala kifuani Kwenye dala dala anapita dirishani Ghetto anazima taa, vipele mapajani
Ana dera jipya, chupi la zamani
Ah yo yo yo
Huyo miss buza, mama miss Buza Jamani miss buza, nampenda miss Buza Huyo miss buza, mama miss Buza Jamani miss buza, nampenda miss Buza
Haya kelele ya kwanza kwa missi yake, weh Kelele ya pili kwa missi yake, weh, weh Kelele ya tatu kwa missi yake Weh, weh, weh weh
Mtoto anachu chu, anachuchumia Ana chu chu, mpaka nguo anavua Mtoto anachu chu, anachuchumia Ana chu chu, mpaka nguo anavua
Oya twende kama unalo tingisha, we mama tingisha Tuone tingisha we dada tingisha Kama unalo tingisha, we mama tingisha Tuone tingisha, we dada tingisha
Eyooo Kenny
Basi twende shosho, we nioneshe sho Style gani unacheza kidalipo We mwanangu shosho, we nioneshe sho Style gani unacheza kidalipo
Basi tuende kibaikoko we mtoto Miguu juu ning´inia kama popo Kibaikoko we mtoto Miguu juu ning´inia kama popo
Unakaa chini unakwenda unakwenda unakwenda
Shika magoti unashuka unashuka unashuka Na ka chini unakwendaa unakwendaa unakwendaa Shika magoti unashuka unashuka unashuka
Wee Juma Lokole number 1 Kida mchoksi number 1 Hahaha Idriss wa kitaa number 1 Weeee Aristote
Wapi Uncle Shamte ongeza ah mama Dangote Mwambie akatafte na vyumba havipangishwi Eeh kidogo dogo msalimie Kenny Tony Vumwe, Ricardo Momo
K Imani, Soni Weka
Eeh mwanangu Ommy Crazy Ommy Kichaa kini kazaa HK HK wapi Wanjala? Lengo Dangote nipelee Ali mwa Kimwana Papichulo weee
Eeh baba Benami, baba Benami aiii Ah wote, ah wote RJ the Dj, all day Wananiitaga Dulla Makabila yaani King of Singeli We Esma Platnumz anakusalimia mkubwa Fella Waambie wasitume wavulana kwenye shughli za wanaume Mmmh Dulla jamani tucharaze kitu gani? Haijaisha tu, kama singeli ndo kurushana hivi Mi siwezi jamani inatosha