Mara akivaa ozi mwamba hana matatizo mwamba Tajiri hana baya mwamba yaani amenyooka mwamba Nilizunguka kila kona kutafuta furaha ya moyo Mungu kanipa yeye anayenifaa Wambea najua inawachoma mukaroge Tanga Bagamoyo Mungu Kapanga yeye hauwezi kukataa
Namkumbatia hamnifanyi chochote Tena namshika namchumu hamsemi chochote Nambeba pia hamnifanyi chochote huyu wangu Natamba simwogopi yeyote
Mama Amina Bele Amina Belebele Mama Amina Bele Amina Belebele
Hana kipele mwamba sio baili mwamba Tena hajarogwa mwamba tajiri amenoga mwamba Nilizunguka kila kona kutafuta furaha ya moyo Mungu kanipa yeye anayenifaa Wambea najua inawachoma mukaroge Tanga Bagamoyo Mungu Kapanga yeye hauwezi kukataa
Namkumbatia hamnifanyi chochote Tena namshika namchumu hamsemi chochote Nambeba pia hamnifanyi chochote Huyu wangu natamba simwogopi yeyote
Mama Amina Bele Amina Belebele Mama Amina Bele Amina Belebele Mwache apite mbele apite mbele mbele Mwache apite mbele apite mbele mbele