Ati simtaji jina (Anajijua) Fundi wa Raha zangu (Anajijua) Kiboko yangu Sio mpaka niseme Yule nina mpenda sana (Anajijua) Roho yangu (Anajijua) Mwenye moyo wangu (Anajijua) Sio mpaka niseme
Kwanza tuanze rangi yake Ah! jamani ipo mwake
Natamani nione kopo lake Amenunua wapi duka lake Kisha tuje kwenye umbo lake ah! Hapo lazima udate Usije kutokwa mate Mambo ya uturuki tuyaache Maana mtoto kanawiri Jaama! kumuacha uwe jasiri saana! Nime shindwa kuwa bahiri Mama! we nichune hadi kandambili Sawa Babe pose geuka freeze Nipe tabasamu la picha cheese You are so mwaaa! You are so cute Kwako nime wehuka kabisa chizi
Mwambieni
Nampenda Bila yeye Mi siwezi
Mwambieni Nampenda Bila yeye Mi siwezi
Ati simtaji jina (Anajijua) Fundi wa Raha zangu (Anajijua) Kiboko yangu Sio mpaka niseme Yule nina mpenda sana (Anajijua) Roho yangu (Anajijua) Mwenye moyo wangu (Anajijua) Sio mpaka niseme
Leo nawatambulisha Mliokuwa hamjui Hapa ndo nimetika mwenzenu Shemeji yenu huyo Kwake najibebisha Usiku asubuhi Tongonza tongoza ama zangu ama zenu Shemeji yenu huyo Ye ndo tiba ya mwili Mama anituliza akili…Jama Ma Ex mtasubiri Sanaaa Kumuacha sitikiriii Oooh! oh! Pose Geuka Freeze Nipe tabasamu la picha cheese You are so mwaaaa!!!
You are so cute Kwako nime wehuka kabisa chizi
Mwambieni Nampenda Bila yeye Mi siwezi
Mwambieni Nampenda Bila yeye Mi siwezi
Ati simtaji jina (Anajijua) Fundi wa Raha zangu (Anajijua) Kiboko yangu Sio mpaka niseme Yule nina mpenda sana (Anajijua)
Roho yangu (Anajijua) Mwenye moyo wangu (Anajijua) Sio mpaka niseme