Naogopa(naogopa) Naogopa(naogopa) Naogopa(naogopa) Kwenye safari ya mapenzi mi nisiyasikee Naogopa(naogopa) Naogopa(naogopa) Naogopa(naogopa) Tena tochi ya mapenzi isinimulike
Nimeyaona bayana Ndo maana sitaki kukumbuka ya jana
Alivyonidanganya Moyo wangu ukapiga danadana nimeyaona bayana ndo maana sitaki kukumbuka ya jana alivyonidanganya moyo wangu ukapiga danadana
Kwani nini za mapendo ila yakaniteka mapenzi Tena nilimweka moyoni ila akaniona mshenzi Unaweza sema pesa ndiyo breki ila mapenzi hayasomeki Umemteka kwa mali na cheki Kumbe vyombo anakula muuza magazeti Unayemwita bebi anaweza bebwa kama beki Mapenzi yanabadilika unaweza ukamwita shemeji Unayemwita bebi anaweza akabebwa kama beki Mapenzi yanabadilika unaweza ukamwita shemeji
Unajisifu umempata
Kumbe alo mwacha anamfata Anachotaka anakipata Wanasema hawara hana talaka
Naogopa(naogopa) Naogopa(naogopa) Naogopa(naogopa) Kwenye safari ya mapenzi mi nisiyasikee Naogopa(naogopa) Naogopa(naogopa) Naogopa(naogopa) Tena tochi ya mapenzi isinimulike