Nataka nitoke kwenye gazeti Niuze sura! Niseme ninatoka na Jokate Kitandani kwisha na Feza Kessy Ama Snura
Nilete matata mpaka kwa Grace Kwenye redio zote, mpaka runinga Nitangaze kwa kuvimba Kwamba Lulu anayangu mimba Au niwatukane wote wanaoimba Kwa dharau na kuvimba Mpaka yule anajiita Simba! Niseme madam Ritha katetema Akiniona anashindwa hata kuhema Au Vanessa kanena ananitaka na Jux atatemwa Nataka nifanye sinema Kwa alozaa na Ney, Siwema Kiki ipi iko njema, au niende kwa Sepetu Wema?
Ati ntokeje? Mwenzenu ntokeje? Ati ntokeje? Mwenzenu ntokeje?
Nasikia Uwoya mkali, wanasemaga Shishi asali Wolper atakubali akimwage ki Harmo chali Ninatafakari, kichwani maswali Nimtongoze Zari, akijua Mondi si hatari? Ee-hee, Rose Ndauka, Kajala pia hadi na Salama Mose Iyaba asijeninua kwa Aunty lawama Mkubwa Fella, Tale Salami leaders nizushe pesa wamenipiga Chege na Madee wasije nikwida Iyowee! Nataka nibadili ratiba, kwangu isije leta msiba Nitoke Wasafi niende kwa Kiba
Ati ntokeje? Mwenzenu ntokeje? Ati ntokeje? Mwenzenu ntokeje?