Pochi neneeee Pochi neneeee Wakizingua si tunakata umeme Nasema Pochi neneee Pochi neneee Skuiz mjini msingi pesa sio masebene
Pochi nenee pochi nenee Wakizingua si tunakata umeme Nasema Pochi neneee pochi neneee Skuiz mjini msingi pesa sio masebene Pochi nenee baada ya kuhustle Maana haituni bila ya kumwaga jasho Pochi nenee mlinde dem wako Vocha ninayomuhonga sawa na bei ya sim yako I got love for my people sina kwere I believe in God baraka tele Mchawi karoge usifike mbele Mi napanda ndege we kapande tembere Mi huwa nashine mpka nachana kichina Potorico mama sita kariashina Alhabib rakatel mzee wa vina Dubai mafuta mi namiliki visima Pochi neneeee Pochi neneeee
Wakizingua si tunakata umeme Nasema Pochi neneee Pochi neneee Skuiz mjini msingi pesa sio masebene Pochi nenee pochi nenee Wakizingua si tunakata umeme Nasema Pochi neneee pochi neneee Skuiz mjini msingi pesa sio masebene Pochi nene inanukia mapene Dada sikunyimi ka ukitaka useme Pochi nene tunda lazima nimenye Ama nikifulia basi na wewe niteme Tushakesha kama bundi bundi Tushapigwa na vumbi vumbi Mara kondakata mara machinga Fundi fundi tunazisaka kumbi kumbi Tushone mitungi tungi
Leo hanifa kesho Anita kundi kundi Usiseme we una mikosi Omba Mungu mambo yawe kitu na boxi Na mwanume sugu hachoki Toka kijakazi mpka nakua bosi Walishanitesa mashosti Hata busu nililitafta kwa tochi Kumbe dawa ya mapenzi ni noti Sasa nachagua mimi Kwenye bedi au kochi Mi huwa nashine hadi nachana kichina Potorico mama sita kariashina Alhabib rakatel mzee wa vina Dubai mafuta mi namiliki visima Pochi neneeee Pochi neneeee Wakizingua si tunakata umeme Nasema Pochi nene Pochi nene
Skuiz mjini msingi pesa sio masebene Pochi nenee pochi nenee Wakizingua si tunakata umeme Nasema Pochi nene Pochi nene Skuiz mjini msingi pesa sio masebene Zombieee Vany boy I told you boy this´s gonna be a movie Wasafi Records for life baby Mbeya city on top We won´t stop