Tangu umefunga safari yeah yeah Kurudi nyumbani uje uone hali yangu Nakosa chumvi sukari yeah yeah Kila siku nakonda kufikiria sembe Wapi nitapata mboga familia iende Baba yako mgonjwa hashiki hata jembe Kutoka ´91 sina kipya kitenge
Kafukuzwa shuleni, mdogo wako Jane Na mengine sisemi maiyoo Sikai sebuleni nikiona wageni Nakimbia madeni maiyoo
Nitarudi mama, mama Nitarudi mama, mama Nitarudi mama, mama Nitarudi mama, mama Nitarudi mama, mama Nitarudi mama, mama
Heshima yako mama Hukuwa pole na baba Mambo yatakuwa sawa Sipendi ukilalama
Kazi zimenijaa Nahustle kupata chapaa Nitakuja na pesa nyumbani Sahau kuhusu dagaa
Si unapendaga pete na chain
Nitaleta za Gold Mwambie mdogo wangu Jane Nitampeleka boarding
Nitakujengea nyumba bondeni Uache kulipa kodi Nitakulipia yote madeni Usigongewe hodi
Mwambie baba asijali Atapona tutaenda hospitali Asilie atakuwa shwari Siku yake ya birthday nitampa gari
Machozi yanilenga Siku zinakwenda mama Sala zenu wapendwa Ndo zitanijenga sana
Sijawatenga sikupigi kalenda mama Mungu akipenda yote nitatenda mama Naomba unisubiri nyumbani Nitarudi mama mama
Nitarudi mama, mama Nitarudi mama, mama Nitarudi mama, mama Nitarudi mama, mama