Kichwa wanipasua Unanichapa fimbo Moyoni napata tabu Unajishaua unamalingo Kama una sura ya Dhahabu Ni miaka sasa nakufata Ndala zangu zote umekata Kutoka tegeta hadi tabata Mpaka visigino vimechacha
Mara nasikia kuna bakari kinyozi Ulishampa Hadi kaka yake Rose Kwani we ni pilipili unitoe machozi Nikikufata waniletea mapozi
Mapenzi uvumilivu unajua Ila kwako numeshidwa
Upendo sasa majivu umeungua Basi mama we ndo Bima
Oooh mamy looh (Sikupendi) Utanitoa roho (Sikupendi) Kila siku jibu lako no (Sikupendi) Sikutamani ng´o (Sikupendi ) Naonyesha dhahili (Sikupendi) Sikutamani tena (Sikupendi) Nimeghaili (Sikupendi) Na kwen siji tena (Sikupendi)
Hadi nahisi gundu mzee mwenzenu Kila mambo nikiset Nimegeuka mlinzi nyumbani kwenu Kila siku kwenye geti Nilikufata mpaka kigogo Kwenye shughuri yake mama Asha Modo
Akanitimba migumi kede kede Nikawa mjinga tena bwege bwege Kama nimetinga pombe bege bege Alinishinda nikawa lege lege Heee eeeh
Nakata tamaa kuwa nawe Nikirudisha kumbukumbu Nilipo kuona na masawe Kwenye guest ya manungu Ulifanya nipagawe Kwa mawazo na uchungu Nilikesha nje oh mama wee Nikawa chakula cha mbu
Mapenzi uvumilivu unajua Ila kwako numeshidwa Upendo sasa majivu umeungua Basi mama we ndo Bima
Oooh mamy looh (Sikupendi) Utanitoa roho (Sikupendi) Kila siku jibu lako no (Sikupendi) Sikutamani ng´o (Sikupendi ) Naonyesha dhahili (Sikupendi) Sikutamani tena (Sikupendi) Nimeghaili (Sikupendi) Na kwen siji tena (Sikupendi)
Oooh mamy looh (Sikupendi) Utanitoa roho (Sikupendi) Kila siku jibu lako no (Sikupendi) Sikutamani ng´o (Sikupendi )
Naonyesha dhahili (Sikupendi) Sikutamani tena (Sikupendi) Nimeghaili (Sikupendi) Na kwen siji tena (Sikupendi)