Mbeya City boy Ray V Vanny boy Heyo Laizer Can you raise it a lil bit But u never saw this am coming..
Kama Zidane mpira upo gambani Vile navyo wabana kama pochi ya dada kwapani Na mwamini Mungu funga virago shetani Joh-Makini akiwa mweusi Baraka tumwite nani Kwene biti nateleza japo sijasoma nachana hadi kingereza Good morning (how are you)men thatâs simple You do it for your own but I do it for my people Nisha taabika wala sikusikika wakalashika sahani nikakosa niliye pika Sasa mambo yamejipa kila kitu uwakika na nenepa wasafi kupiga selfie na Tiffa
Wananiita suguu (nani?) wananiita sugu (nani?) Sugu sugu suguuuuu(Rayvanny boy) Wananiita suguu (nani?) wananiita sugu (nani?) Sugu sugu suguuu
Naitwa Rayvanny boy vee vanny langu jina Kinyago toka Mbeya sio toy lakichina Sijatoboa sikio sijui piko wala hina Tattoo ya kazi gani ngozi tayari ilisha zima Visirani walio kesha kupiga pini Hawaamini nikipita wanaomba picha na mimi Zamani mademu walinipiga chini Saizi wananisumbua wao ray jibu langu lini Heshima kwa watabiri waliosema nitafeli Wakaniita bajaji sitopita kwenye reli Sasa ni wasafi kuku kapona kideri Ukisikia besidei basi tukutane sheli
Wananiita suguu (nani?) wananiita sugu (nani?) Sugu sugu suguuuuu(Rayvanny boy) Wananiita suguu (nani?) wananiita sugu (nani?) Sugu sugu suguuu
Niite ray sugu sungura mla dubu Beat mama wa kambo ona lina tema gubu Mafuta na mashudu kipi unakihusudu Vunja kibubu sije kuwa mchele ama gubu Nafurahi kuona matusi ya wanao ni pinga Walio ninyima jero pindi na piga mizinga Sasa na wapa kero zamu yao kuzinga Talent kanipa Amila msistuke nikivimba Uswazi ndipo napotoka ,Sister duu onyo kushoboka Sitakuwa kuonga iphone, nitakuonga goroka Simu ya kitochi ukacheze game la nyoka
Wananiita suguu (nani?) wananiita sugu (nani?) Sugu sugu suguuuuu(Rayvanny boy) Wananiita suguu (nani?) wananiita sugu (nani?) Sugu sugu suguuu