Sambusa kachori, tafuna tango ghetto si za mori Nisharuka nikajoli, tucheze kuchikuchi kwenye mapori Sambusa kachori, tafuna tango ghetto si za mori Nisharuka nikajoli, tucheze kuchikuchi kwenye mapori
Alamba (Tamu) Ah alamba tena (Tamu) Oh alamba (Tamu) Ah alamba tena (Tamu)
Ah alamba (Tamu) Ah alamba tena (Tamu) Oh alamba (Tamu)
Ah alamba tena (Tamu)
Nimeshakupa seat, ukae mwenyewe ujinafasi Siwezi kukucheat, basi niamini ndo waasi Mi ni mfungwa kwenye jela yako, nifungwe milele, milele Kweli pombe ya mapenzi yako, niacheni nilewe, nilewe