Umenchanganya oh mama na sikatai (sikatai) Ulivo sexy sexy, i´m gonna die (i´m gonna die) Uzuri kakupa mama ruksa njidai Harufu karafuu ya Zanzibar marashi ya Dubai Aloh
Tunafanana kama nyota na mbalamwezi Twaendana kutena pangea mwenyezi Tunafanana kama nyota na mbalamwezi Twaendana kutena pangea mwenyezi Asa nibebe nikubebe Domo zege nikatengede Una utege, kiuno lege Utetoboa shati na chuchu dede
Honey nakupenda, te quiero I love you, te quiero Teamo teamo, te quiero Te que, te quiero Honey nakupenda, te quiero I love you, te quiero Te que, te quiero
Sijajificha kwenye chaka lako umenificha we
Na nakupenda usiku mpaka kukicha Unataka yangu nataka yako kila dakika Na nnavopenda vitu yako aaahh Usipotoka machoni mwengu sitamani ata kula Nahisi raha, utamu Unaikosha nafsi yangu Na toka ujifungie moyoni mwangu Honey nafurahi naona raha, utamu Unaikosha nafsi yangu aaahhh Hivi ulikuaga wapi kipindi naumizwa aahh Aaah baby Asa nibebe nikubebe Domo zege nikatengede Una utege kiuno ulege Utatoboa shati na chuchu dede
Honey nakupenda, te quiero I love you, te quiero
Teamo teamo, te quiero Te que, te quiero Honey nakupenda, te quiero I love you, te quiero Teamo teamo, te quiero Te que, te quiero