Si ndo chama lao rangi ni njano kijani Tena ni mashujaa, pole wapinzani Magufuli kichwa jembe namba one (Ayoyoyo)
Tunawabuluza, Tunawabuluza Tunawabuluza, Ona Tunabuluza Tunawabuluza, Tunawabuluza Tunawabuluza, ona tunawabuluza
Aya kelele ya kwanza kwa Magu yake (Wee) Aya kelele ya pili kwa John yake (Wee, wee) Aya kelele ya twatu kwa Pombe yake (Wee, wee wewe)
We mikono juu, watu shangilia We mikono juu, weka mashati kofia CCM mikono juu, watu shangilia Basi weka juu, weka mashati kofia
Peperusha bendera, wee bendera Sijaona bendera, CCM bendera Peperusha bendera, wee bendera Kina mama bendera, sijaona bendera
Peperusha bendera!
Aya Magufuli aya wee (Ayaa wee, ayaa wee) Mama Samia aya wee (Ayaa wee, ayaa wee) Majaliwa aya wee (Ayaa wee, ayaa wee) Mashiru aya wee (Ayaa wee, ayaa wee)
Na Mangula aya wee (Ayaa wee, ayaa wee) Pole pole aya wee (Ayaa wee, ayaa wee) Kiwangwala aya wee (Ayaa wee, ayaa wee) Na Makonda aya wee (Ayaa wee, ayaa wee)
Bado watoto wao, Magu ni baba lao CCM moto wao, tena kiboko yao Bado watoto wao, Magu ni baba lao CCM moto wao, tena kiboko yao
Mikono juu alafu piga makofi Weka juu huku unapiga makofi Mikono juu alafu piga makofi Weka juu huku unapiga makofi
Tunaenda kushoto, wee kushoto Twendeni kushoto, watu wote kushoto Turudi kulia, wee kulia Tunarudi kulia, wee kulia
Kina mama vigelegele Sijasikia vigelegele Aya wanangu piga milusi Sijasikia milusi
CCM Kiboko yao, CCM kabari yao CCM Kiboko yao, CCM kabari yao CCM Kiboko yao, CCM kabari yao CCM Kiboko yao, CCM kabari yao
Jembe Magufuli, kiboko yao Wee mama Samia, kabari yao Hadi Majaliwa, Kiboko yao Wee Mwajembe baba, kabari yao Mbeya tulia mama, kiboko yao Ata cha Ramila, kabari yao