Niwe kibatarim ama mwanga wa mshumaa Kwenye kigiza cha jioni Pika dona ngangarii Tulishushie na dagaa Ukishatoka sokoni
Kisha tufunge safari Itayo chukuwa masaa Utokwe jasho mgongoni Na vile nina machachari Nikikushika kibaa Utamu wa dicki nondoni
Kuna muda nawaza, hivi nitakupa nini Sina mbele sina nyuma masikini Chakula shida nadona la chini niambiee Wenye mapesa vogi na ma lamborghini Wasije fanya ukanipiga chini Bado nawaza hivi nitakupa nini utuliee Sambusa kachorii pamia aaee Tukipata pesa ni sangala Mchicha mtori pamia aaee Kama tukikosa tunalala Kwa hiyo mama usijali Vumilia iyeeee
Vuumilia iye iye Vumilia Kesho tutapata mapenzi Vumilia Vuumilia Vumilia Vumilia Kesho tutapata mapenzi
Najuwa unatamani mama high waist Make up weaving za dubai na china Ule pamba nyepesi setaaar Chain ya dhahabu yenye jinnaa Oooooh, basi mama vumilia Nakupigania mpenzzzzi subiria Oooooh, acha kujiinamia punguza kulia tatusaidi Ati mapenzi si moyo
Mapenzi ni pesa Kama kweli masikini yatatutesa Uchoyo usinipe pressure Naomba unipendee
Kuna muda nawaza, hivi nitakupa nini Sina mbele sina nyuma masikini Chakula shida nadona la chini niambiee Wenye mapesa vogi na ma lamborghini Wasije fanya ukanipiga chini Bado nawaza hivi nitakupa nini utuliee Sambusa kachorii pamia aaee Tukipata pesa ni sangala Mchicha mtori pamia aaee Kama tukikosa tunalala Kwa hiyo mama usijali Vumilia iyeeee Vuumilia iye iye Vumilia