Nakupa yote mumunya Tamu wa pipi mate Baby kwa mapenzi huko chuo Hauko tena Kindergarten
Marashi yake ma, Amechanganya na tangau Mtoto kama Saida Karoli Anavyo chambua karanga Na simuwachi nampenda Ya pete mi chanda L-O-V-E (I love you) Kama kasimu muganga
Ooh lelele Wanaweweseka Nimekupa bundle watuperuzi Wanaweweseka Mama nipe mambo tuwauthii Wanaweweseka Basi cheka cheka uki deka deka mami Wanaweweseka
Baby eeh, tausi maingona Teke eeh umbo kifusi, nyuma kishinoni Nikubebe eeh na wenye chuki wakate shingoni Sitakilete eeh kina bunduki, na wanandalido
Udongo gani, unaokufinyanga mali weh Mganga gani alopiga manyanga mali weh Majungu simutachi ayaya, maneno sio radi ayaya Jasho lina watoka maji (I love you daddy)
Marashi yake ma, Amechanganya na tangau Mtoto kama Saida Karoli Anavyo chambua karanga Na simuwachi nampenda Ya pete mi chanda L-O-V-E (I love you) Kama kasimu muganga