Eti nilemwita my queen eminado Leo kashika njia Aloyafanya mi simanzi Nishachoka kulia
Nipe Panadol changanya Chloroquine Madawa yote jazia Sumu ya panya wapi kitanzi Nishachoka dunia
Aliniahidi Nitakuwa wake kufa na kuzikana Kigoma kwa bibi Ngala mukunze na tukapelekana
Tena akanifariji Eti anafanya mipango tuanze kuona
Kumbe muongo! Alinidanganya kanifanya cartoon Kumbe muongo! Hadi safari za akasema salimi Kumbe muongo! Hawakutosheka chumbani wakafanya bafuni Kumbe muongo! Aliyoyafanya leo kwangu huzuni najuta mie
Waongo wao! Yaani waongo wao Waongo wao, waongo wao Tena Waongo wao, waongo wao
Waongo wao! Yaani waongo wao Waongo wao, waongo wao Tena Waongo wao, waongo wao
Wengi mnapenda sura Shepu mibinuko Wakati hamna kitu kwa mifuko Vimba kama puto kuringia uso Kijana jua kuna babu yupo
Anahudumia, anagharamia Kodi ya nyumba anamlipia Na furniture pia kamnunulia
Ipo siku utaikalia
Macho kwenye pesa Macho kwenye noti Macho sio kwa handsome Macho ni kwa bosi
Chat za Whatsapp hizo ni namba za mashosti Ukitaka ufe cheki namba za kitosi Shevu fundi wa heleni kumbe fundi wa mkoleni Fundi wa mafundi yaani fundi miuno feni Ana fundi mikocheni ana fundi magomeni Ila fundi wa manzese humfikisha kileleni