Upepo mwanana Nawe upo kifuani mwangu Jua likizama Mikono salama Karibu kwenye moyo wangu Mi Baba uwe mama Ahhhhh Zima taa washa mishumaa Nilishe kama na njaaaa aaaaah ahhhhhhh Kila dakika kila masaa Palilia penzi litasinya aaaaaah ahhhh
Sura yako macho yako upole wa mama yako we chaguo langu mamaaa aaah Taswira yangu picha yako Moyo wangu Mali yako we chaguo langu
mamaaa aaah
Wasiwasi Mwenzako sina maana niko na wewe Wasiwasi Tunza heshima niwe na ww milele Wasiwasi Uko na mm usiwe na Wasiwasi Uniaminiii Usiwe na Wasiwasi
Ntakuganda ruba Pua na leso tufatane Mahabuba Tuwe mapacha tufanane Wenye husuda wakiroga tutengane Ongeza rutuba
Nije na Pete tuoaneee
Supu chukuchuku miguu ya vikukuu Ayy Utaua ehh Utaua ehh Na haya manusunusu Ukinibusubusu Ayy Maua ehh Maua ehh
Sura yako macho yako upole wa mama yako we chaguo langu mamaaa aaah Taswira yangu picha yako Moyo wangu Mali yako we chaguo langu mamaaa aaah
Wasiwasi Mwenzako sina maana niko na wewe Wasiwasi Tunza heshima niwe na ww milele Wasiwasi Ehhhh Uko na mm usiwe na Wasiwasi Uniaminiii Usiwe na Wasiwasi