Aiyeyo, aiyeyo, aiyeyo Unalewa leo, si tulilewa zama
Aiyeyo, aiyeyo, aiyeyo Unahonga leo, si tulihonga zamani Aiyeyo, aiyeyo, aiyeyo Unadanga leo, Si tulidanga zamani
Unaringia picha zenye mafilter Ya huko Insta Zamani si tuliitisha Mwendo wa kiko hakuna shisha
Shepu za kushikika Tiktok G, ugali mchicha Leo mnatingisha Kumbe wachina wamejazisha
Zamani tulihonga bangili (Haiyaa) Pini masikioni (Haiyaa) Leo mmebadli
Mnahonga na iPhone
Vijana wengi wazembe Wengi waongo chumbani butu Wazee wa mudende, mara mcongo Ale kasusu
Zamani si ndo majembe Tena vigongo wachinja kuku Chumbani kibembe mechi ya dondo Hatoki mtu
Aiyeyo, aiyeyo, aiyeyo Unalewa leo, si tulilewa zama Aiyeyo, aiyeyo, aiyeyo Unahonga leo, si tulihonga zamani Aiyeyo, aiyeyo, aiyeyo Unacheat leo, Si tulicheati zamani
Mmmh enzi zetu kupendeza haukusi Suti rangi kifuu na shingoni kamjusi Kwenye nywele za zoo nina mwaka ya urusi Mmh kesho kakuwa juu na kigazeti cha uzushi
Zamani kuwahi kazi sio mwendo kasi Unapanda uda Kwenye mwenye anazo ni Taxi Sio kurequest Uber
Madada zamani kazi kazi Hawalewi bia leo kesho Siku hizi vichwa panzi Bia mbili kashafika ghetto
Zamani ni tofauti na leo Hadi ng´ombe maradufu, ndio wanatoa mkeo
Zamani ni tofauti na leo Ukitoa chips kuku, analegeza komeo
Vijana wengi wazembe Wengi waongo chumbani butu Wazee wa mudende, mara mcongo Ale kasusu
Zamani si ndo majembe Tena vigongo wachinja kuku Chumbani kibembe mechi ya dondo Hatoki mtu
Aiyeyo, aiyeyo, aiyeyo Unalewa leo, si tulilewa zama Aiyeyo, aiyeyo, aiyeyo Unahonga leo, si tulihonga zamani Aiyeyo, aiyeyo, aiyeyo