Baby mooh nifanye big G unitafune Ama niwe sindano nawe uwe uzi nguo nifume Ama niwe ndoo uwe maji yangu unawanume Nifanye kucha kama ukiwashwa mi nikukune sema mama
Niwe duka la vipodozi nikuvutie kwa kila kitu Chumbani uwe simu unalia hata nikiku beep Nisimame kama kinyozi nikikunyoa unanisifu Niwe godoro na shuka nilale na wewe kila usiku
Shika ufunguo gari ya bosi wangu kwako zezeta zezeta Niko ladhi nifunge ule wewe mimi zezeta zezeta Au unataka hati nyumba ya baba yangu kwako zezeta zezeta Kifaranga nibebe kama mwehu mimi zezeta zezeta
Mama sitaki paka na panya vita za nini Mi nataka niwe mafuta ujipakaze kote mwilini eeh Ama niwe taulo kanga laini ukioga ninakufuta Kutoka juu mpaka kwa chini mashallah Ulivyo mwenzako taabani naishi muchumba siendi varandani
Tena sikufanyi vocha soko dukani Nikutumie muchumba nikutupe jaralani sema mama
Niwe duka la vipodozi nikuvutie kwa kila kitu Chumbani uwe simu unalia hata nikikubeep Nisimame kama kinyozi nikikunyoa unanisifu Niwe godoro na shuka nilale na wewe kila usiku
Shika ufunguo gari ya bosi wangu kwako zezeta zezeta Niko ladhi nifunge ule wewe mimi zezeta zezeta Au unataka hati nyumba ya baba yangu kwako zezeta zezeta Kifaranga nibebe kama mwehu mimi zezeta zezeta Kifaranga nibebe kama mwehu mimi zezeta zezeta
Mashilawadu wana nyapia nyapia Mashilawadu wana nyatia nyatia
Mashilawadu wapate kutangazia Mashilawadu kuwa makini mama Mashilawadu kwa kudandia dandia Mashilawadu vya watu kupagazia Mashilawadu macho funika pazia Mashilawadu kuwa makini mama eeh eeh