Tuimbe eeh, wewe ni bwana Tuimbe eeh, wewe ni bwana Tuimbe eeh, wewe ni bwana Tuimbe eeh, wewe ni bwana (Glory glory)
Tuimbe eeh, wewe ni bwana Tuimbe eeh, wewe ni bwana
Eee Mungu bingu na zikusifu Watu na wakuimbie Dunia na iseme wewe ni Bwana Wewe uliyemwangusha nyangumi
Mungu wa wafilisti Mwisho wake wakajua wewe ni Bwana Uliye gawanya bahari kwa mkono wa Musa Na kuweka history ee wewe ni Bwana
Na ulikomesha masimango na kiburi cha Pharaoh Walisifu na kusema wewe ni Bwana Uliyesimamisha jua kwa mkono wachojua Wenye akili wamesurrender
Wewe umeweka recordi, isiyoweza kuvunjwa Ndio maana tunasema wewe ni Bwana
Wacha nikuinue, wacha nikuabudu Mungu wangu wewe, wewe.. Wewe ni Mungu, wewe ni Bwana
Tuimbe eeh, wewe ni bwana Tuimbe eeh, wewe ni bwana Tuimbe eeh, wewe ni bwana Tuimbe eeh, wewe ni bwana (Glory glory)
Tuimbe eeh, wewe ni bwana Tuimbe eeh, wewe ni bwana
Ni ya ajabu mambo yako Baba wee Yanatisha matendo yako Mungu wee

Sinai ulipasuka miamba ilipasuka Mbingu zikatetemeka wewe ni Bwana Wewe ni moto ulao, Baba uangungushaye Nani kama wewe... wewe ni Bwana Wewe ni Bwana, wewe ni Bwana
Tuimbe eeh, wewe ni bwana Tuimbe eeh, wewe ni bwana Tuimbe eeh, wewe ni bwana Tuimbe eeh, wewe ni bwana (Glory glory)
Tuimbe eeh, wewe ni bwana Tuimbe eeh, wewe ni bwana
Ebenezer, Ebenezer Bwana wa mabwana Mfalme wa wafalme Mungu wa miungu nani kama wewe